Wireless Mini Speaker SR-PS1614 Sauti yenye nguvu ndani ya ukubwa mdogo.
💎 KWANINI SR-PS1614 NI MUHIMU KUWA NAYO?
🔊 SAUTI KUBWA (POWERFUL BASS): Usidanganywe na udogo wake! Spika hii ina sauti nzito na safi (Crystal Clear) inayoweza kujaza chumba chako na kuleta vibe la kishua papo hapo.
📶 TEKNOLOJIA YA BLUETOOTH 5.0: Unganisha na simu yako kwa sekunde chache na ufurahie muziki kutoka YouTube au Spotify bila kebo. Inakamata mawasiliano hadi umbali wa mita 10!
📻 REDIO YA FM YENYE SIGNAL KALI: Inakuja na antena imara inayokupa uhakika wa kupata stesheni zako zote za FM unazozipenda bila mikwaruzo, hata ukiwa mbali na mji.
🔌 MUUNGANISHO WA KILA NAMNA: Uhuru wote upo mikononi mwako! Inakubali Flash (USB), Memory Card (TF), na hata AUX cable.Playlist yako haitaishiwa njia ya kupiga!
🔋 BETRI RECHARGEABLE YA MUDA MREFU: Chaji mara moja na uburudike kwa masaa mengi. Ni rafiki wa kweli kwa safari zako kwa sababu ni nyepesi na inabebeka kirahisi (Ultra-Portable).
🚨 OFA YA LEO: WAHI KABLA HAZIJAISHA!
Spika hizi za SR-PS1614 ni bidhaa nzuri sana kutokana na ubora wa sauti kulinganisha na bei yake ya kishkaji.Wahi sasa ujipatie ya kwako
Agiza hapa
🚚 Nchi Nzima| Jina: | |
| Mahali: | |
| Idadi: | |
| Usafiri: |
Muhtasari
✅ Ipo Tayari| Bei ya Bidhaa | 0 TZS |
| Usafiri | 0 TZS |
| JUMLA KUU | 0 TZS |
Malipo hufanyika baada ya kutuma taarifa zako Whatsapp na kupokelewa na mtoa huduma wetu.Ambaye atakupa maelezo ya namna ya kufanya malipo kwa urahisi na haraka zaidi.
Mchakato wa kutumiwa bidhaa huanza tu mara baada ya kukamilisha malipo na kuhakikiwa na mtoa huduma wetu.