KUHUSU SISI

Huduma ya Uhakika Tanzania

E-ONLINE BUSINESS
& STORE 🛒

Chagua bidhaa zilizopo stoo sasa hivi au agiza bidhaa yoyote unayohitaji kupitia mfumo wetu wa oda maalum. Tunakufikishia popote Tanzania.

Kuhusu E-Online Store

E-Online Business ni jukwaa la biashara mtandaoni linalolenga kutoa huduma kuu mbili kwa wateja: kuuza bidhaa zilizopo stoo na kupokea oda (order) za bidhaa ambazo hazipo kwa sasa kwenye store. Tunalenga kurahisisha mchakato wa ununuzi kwa wateja na kuwapa uhakika wa kupata bidhaa wanazohitaji.DHAMIRA YETU ni Kutoa huduma rahisi, salama, na za haraka kwa kuuza bidhaa zilizopo stoo na kuwezesha wateja kuagiza bidhaa ambazo hazipo, kwa bei nafuu na kwa uhakika wa ubora.

STOOunaweza kuagiza bidhaa zilizopo
ODAunaweza kuagiza bidhaa ambazo hazipo
DELIVERYTunakufikishia hadi ulipo

Jinsi ya Kupata Bidhaa

Njia mbili rahisi za kufanya manunuzi na sisi

01

Chagua bidhaa Zilizopo

Vinjari duka letu na uchague bidhaa yoyote iliyopo stoo kwa kuagiza kisha bidhaa zinatumwa mara moja baada ya malipo kukamilika.

02

Jaza Fomu ya Oda

Kama bidhaa unayoitafuta haipo store kwa sasa, usijali! Jaza fomu yetu ya oda maalum na utueleze unahitaji nini.Ili tuweze kukutafutia sokoni na kukufikishia kama ulivyo agiza

03

Pokea Bidhaa

Iwe ni kutoka stoo au oda maalum, timu yetu itahakikisha mzigo wako unakufikia kwa usalama na haraka popote Tanzania.

Zilizopo store

Pata bidhaa zako ndani ya muda mfupi. Kila unachokiona kwenye stoo yetu kipo tayari kwa ajili ya kutumwa kwako.

Agiza Isiyokuwepo

Usikubali kukosa bidhaa! Tunakupa nafasi ya kuagiza bidhaa yoyote na kukuletea kwa ajili yako mteja wetu.

Unahitaji msaada wa kuagiza?

Timu yetu ipo tayari kukusaidia kupata bidhaa zilizopo au kukuongoza jinsi ya kuagiza bidhaa mpya.

TUPO TAYARI, WASILIANA NASI

Ofisi zetu zipo Dar es Salaam,Gongo la mboto, Tanzania.