🎧 JBL Earbuds: Uhuru wa Usikivu, Burudani Bila Kikomo!
Umechoka na earphone zinazokupandisha presha kwa nyaya kujifunga au sauti kukata? Hamia kwenye JBL Earbuds suluhisho la kisasa kwa kila mtu anayependa burudani, video, na mazungumzo safi ya simu bila usumbufu wa waya. Ni ndogo, imara, na zenye sauti itakayokufanya usahau kabisa kukwamakwama!
💎 KWANINI JBL NI CHAGUO NAMBA MOJA KWA BEI NAFUU?
📶 WIRELESS BLUETOOTH CONNECTIVITY: Sahau kero za nyaya! Unganisha kwa sekunde chache na simu, laptop, au tablet yako. Furahia uhuru wa kutembea hadi mita 10 huku Usikivu ukiendelea kusikiya vizur bila kukwama.
🔊 HIGH-QUALITY SOUND EXPERIENCE: Sikiliza kila ala! JLB inakupa uwiano kamili wa Bass nzito, Mid, na High tones. Iwe unapiga simu au unasikiliza playlist yako, sauti ni ya kioo (Crystal Clear).
🔋 MASAA 8 YA BURUDANI: Hii ni kwa ajili ya watu wa "vibe" refu. Betri inadumu hadi saa 8 mfululizo, na charging case yake inakuhakikishia chaji ya ziada popote uendapo!
☁️ MUUNDO NYORORO (ERGONOMIC DESIGN): Zimeundwa kukaa vizuri ndani ya sikio lako bila kusababisha maumivu, hata ukizivaa siku nzima. Ni ndogo na nyepesi kiasi kwamba utasahau kama umezivaa!
👆 SMART TOUCH CONTROLS: Control kila kitu kwa kugusa tu! Badilisha playlist, pokea simu, au washa Voice Assistant bila kutoa simu mfukoni. Inakuja na Auto Pairing zitoe tu kwenye case na kazi ianze!
🚨 USIKUBALI KUPITWA NA HII!
JLB Earbuds zimejizolea umaarufu kwa kutoa ubora wa hali ya juu kwa gharama inayomlenga kila mtu. Kutokana na mahitaji ya wanafunzi, wasafiri, na wafanyakazi, na kila ambaye anahitajia muonekano wa kijanja zaidi.
Usisubiri mpaka kesho, piga hatua leo na uingie kwenye ulimwengu wa Wireless!Agiza sasa
Agiza Hapa
🚚 Fast Delivery| Jina: | |
| Mahali | |
| Idadi: | |
| Usafiri: |
Muhtasari
💳 Malipo salama| Bei ya Bidhaa | 0 TZS |
| Usafiri | 0 TZS |
| JUMLA KUU | 0 TZS |
Malipo hufanyika baada ya kutuma taarifa zako Whatsapp na kupokelewa na mtoa huduma wetu.Ambaye atakupa maelezo ya namna ya kufanya malipo kwa urahisi na haraka zaidi.
Mchakato wa kutumiwa bidhaa huanza tu mara baada ya kukamilisha malipo na kuhakikiwa na mtoa huduma wetu.