Lattafa Asad 50ml: Harufu ya Mwanaume Shujaa na Mwenye Hadhi!
Je, unatafuta pafyum inayozungumza kuhusu mafanikio yako kabla hata hujafungua kinywa? Lattafa Asad ni zaidi ya manukato ni siri ya mwanaume anayejiamini, shujaa, na anayependa kuvutia bila kutumia nguvu nyingi. Huu ni mchanganyiko wa kishua wa Black Pepper, Coffee, na Vanilla ulioundwa kukuweka kwenye daraja la pekee ukiwa kama mwamnaume.
💎 KWANINI ASAD 50ML NDIO CHAGUO LAKO LA MSIMU HUU?
🔥 HARUFU YA KISHUA (SIGNATURE SCENT): Mchanganyiko wa viungo vya moto (spices) na utamu wa vanilla unatoa harufu ambayo ni vigumu kuisahau. Inafanana na pafyum za gharama kubwa duniani (Dior, Sauvage na Elixir vibes).
⏳ STAMINA YA AJABU (LONG LASTING): Huna haja ya kubeba chupa kila mahali. Pulizia asubuhi, na uendelee kunukia mpaka usiku. Inakaa kwenye nguo kwa zaidi ya masaa 24!
🧥 KWA MATUKIO YOTE: Iwe ni kikao cha kiofisi, mtoko na rafiki zako, au shughuli za kijamii Asad inakupa heshima inayostahili.
🎁 MUONEKANO WA KIFAHARI: Chupa yake ya rangi ya dhahabu na nyeusi ni pambo tosha kwenye dressing table yako. Ni zawadi bora zaidi kwa mwanaume anayejitambua.
🚨 Wahi sasa ujipatie ya kwako kwa bei ya punguzo!
Lattafa Asad ni mojawapo ya perfume pendwa zaidi na maarufu kwa wanaume wanaoelewa harufu ya kishua na muonekano imara wa kuvutia zaidi huku akiwa ni mwenye kujiamini katika kile anachokifanya
Usisubiri mpakauikose ofa hii iishe ndipo utake kuagiza. Chukua hatua sasa uwe mmoja wa wanaonukia kishua msimu huu!
Agiza Hapa
🚚 Delivery Haraka| Jina: | |
| Mahali | |
| Idadi: | |
| Usafiri: |
Muhtasari
💳 Malipo salama| Bei ya Perfume | 0 TZS |
| Usafiri | 0 TZS |
| JUMLA KUU | 0 TZS |
Malipo hufanyika baada ya kutuma taarifa zako Whatsapp na kupokelewa na mtoa huduma wetu.Ambaye atakupa maelezo ya namna ya kufanya malipo kwa urahisi na haraka zaidi.
Mchakato wa kutumiwa bidhaa huanza tu mara baada ya kukamilisha malipo na kuhakikiwa na mtoa huduma wetu.