Ramz gold 25ml

Picha 1 Picha 2 Picha 3 Picha 4
🏆 Premium Grade ⭐ Long Lasting 💨 Massive Sillage

👑 Ramz Gold 25ml: Harufu ya Dhahabu, Hadhi ya Kifalme!

Je, unatafuta harufu inayovunja mipaka? Ramz Gold kutoka Summer Scent ni zaidi ya pafyum; ni kauli ya mafanikio. Huu ni mchanganyiko wa kisasa ulioundwa kwa ajili ya mwanaume na mwanamke anayetaka kuacha alama ya kishua popote anapokanyaga


✨ KWANINI KILA MTU ANAISEMA RAMZ GOLD?

🍎 UTAMU WA MATUNDA NA MAUA: Mguso wa kwanza kabisa unakupa hisia ya matunda, Jasmine na Rose. Ni harufu nyororo inayosisimua hisia na kuleta tabasamu la papo hapo.

🔥 MSINGI WA KISHUA (AMBER & MISKI): Siri ya mvuto wa Ramz Gold ipo kwenye Amber, Miski, na Vanilla. Hii inakupa harufu nzito, ya kiume na kike kwa pamoja, inayovutia watu kukukaribia.

STAMINA YA SAA 24: Ramz Gold haichoki! Inashikilia kwenye nguo na ngozi yako kuanzia asubuhi mpaka usiku. Ni rafiki wa kweli kwa siku ndefu za kazi au mitoko ya usiku.

🌟 UNISEX (KWA WOTE): Iwe wewe ni mwanaume unayetaka heshima, au mwanamke unayetaka mvuto wa kipekee, Ramz Gold inakubali kote. Ni pafyum inayokupa hadhi sawa.


🚨 WAHI SASA UJINYAKULIE YA KWAKO MAPEMA!

Ramz Gold imekuwa chaguo namba moja kwa watu wanaopenda pafyum za "Miski na Amber". Kutokana na ubora wake wahi sasa ujipatie ya kwako.

Usikubali kuwa wa kawaida wakati unaweza kunukia kama dhahabu. Jipatie Ramz Gold yako sasa!

Pata Ofa ya Leo: Tsh 15,000/= 🔒 Harufu ya Uhakika kwa Masaa 24+

Agiza Hapa

🚚 Express Shipping
Jina:
Mahali
Idadi:
Usafiri:

Muhtasari

💳 COD Available
Bei ya Bidhaa0 TZS
Usafiri0 TZS
JUMLA KUU 0 TZS

Malipo hufanyika baada ya kutuma taarifa zako Whatsapp na kupokelewa na mtoa huduma wetu.Ambaye atakupa maelezo ya namna ya kufanya malipo kwa urahisi na haraka zaidi.

Mchakato wa kutumiwa bidhaa huanza tu mara baada ya kukamilisha malipo na kuhakikiwa na mtoa huduma wetu.

🔥Strong Projection
🌿Natural Oils
🚀Fast Shipping
🎁Gift Packaging

E-ONLINE BUSINESS